Meneja wa Timu ya Hull city amesema
timu yake inahitaji alama zaidi katika michezo yake minne iliyobaki ili
kujihakikishia nafasi ya kubaki katika ligi.
Hull City
waliofanikiwa kuwachabanga Liverpool kwa bao 1-0 siku ya jumanne na
kujikusanyia jumla ya 34 na kushika nafasi ya 15 nyuma ya timu mbili
zitakazo shuka daraja."bado tunakazi ya kufanya nadhani pointi 34 hazitoshi kwa upande wetu”.
Wiki hii kuna baadhi ya wachezaji watakatwa ,mishahara yao kwa asilimia 40-50 kama tutaenda chini.
Hull wakiwa katika nafasi ya 15 wanapishina kwa alama nane tu na timu inayoburuza mkia ya Burnley wenye alama 26
No comments:
Post a Comment