WATU zaidi ya 43 wamepoteza maisha huku wengine kadhaa wakijeruhiwa
katika shambulio lililofanywa na watu wenye silaha walioshambulia basi
huko Karachi, Pakistan. Basi lililoshambuliwa na watu hao lilikuwa limewabeba waumini wa dhehebu la Shia. Polisi wa Karachi wameeleza kuwa washambuliaji wapatao sita wakiwa
katika pikipiki walilishambulia basi katika eneo la Safoora Goth kwa
risasi na kuua watu hao 43.
No comments:
Post a Comment