| Neymar, Luis Suarez na Lionel Messi wakishangilia bao. |
Thomas Muller akiifungia Bayern bao la tatu usiku huu.
|
Gerard Pique akikwaana na starika wa Bayern, Robert Lewandowski, aliyekuwa amevaa mask baada ya kuvunjika pua yake.
|
Mabao yote mawili ya Barcelona yamefungwa na Neymar 15, 29 huku ya Bayern yakifungwa na Benatia 7, Lewandowski 59, Muller 74.
Kwa matokeo hayo Barcelona wanasubiri kucheza fainali Juni 6, mwaka huu na mshindi wa mechi kati ya Real Madrid na Juventus.
No comments:
Post a Comment