| Muonekano wa basi la Dar Express likiteketea kwa moto leo mchana eneo la Kwamakocho, Kijiji cha Kimange, wilayani Bagamoyo, Mkoa wa Pwani. |
Eneo la Kwamakocho lipo katikati ya eneo la Mandela na Mbwewe mkoani Tanga.
RPC Jafari Ibrahimu amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana na akasema uchunguzi unaendelea.
No comments:
Post a Comment