| Eddie Howe |
Kocha wa timu ya soka Bournemouth ya
England Eddie Howe ametajwa kuwa meneja bora wa mwaka wa shirikisho la
mameneja wa soka nchini Uingereza LMA.
Howe anakuwa kocha wa pili kutoka nje ya ligi kuu kushinda tuzo hiyo tangia mwaka 1992. "siamini kabisa, ni jambao nisilotarajia" alisema kocha huyo.
No comments:
Post a Comment