 |
| Mtangazaji ambaye pia ni mwanamitindo, Karrueche Tran. |
Karrueche Tran juzikati alijikuta katika
wakati mgumu baada ya kuonana uso kwa uso na mtoto wa Chris Brown,
Royalty.
 |
| Mtoto wa Chris Brown, Royalty. |
Chanzo makini kinafunguka kuwa tangu bi’dada huyo agundue kuwa Chris
alimsaliti na kutembea na mwanamke (Nia Guzman-Amey) na kupata mtoto
mmoja, hajawahi hata siku moja kumuona huyo mtoto laivu.“Karrue yupo
karibu sana na mama wa Chris, Joyce na mara kwa mara wamekuwa
wakiwasiliana. Alimwambia Karrue kuwa mtoto kafanana kila kitu na Chris.
 |
| Karrueche Tran akiwa na Chris Brown. |
“Joyce alimpigia Karrue simu na kumwambia kuwa wakutane na hapo ndipo
alipomshuhudia Royalty uso kwa uso na kuanza kutoa machozi akimlilia,”
kilifunguka chanzo.Hivi karibuni Chris alifanya sherehe ya kuzaliwa
ambapo alirudiana na Karrue japokuwa hawaishi pamoja. Kesho (Mei 17)
Karrue atafanya bethidei yake ambapo Chris amepanga kumuimbia wimbo
anaoupenda.
No comments:
Post a Comment