Inasemekana kuwa wengine kadhaa wanaugua ugonjwa huo. Shirika la Oxfam, linasema kuwa zaidi ya wakimbizi elfu sabini kutoka Burundi, wamefika katika rasi moja kisiwani nchini Tanzania, baada ya kutoroka ghasia za kisiasa nchini Burundi.
Kwa sasa wanahamishwa kwa mashua kutoka kisiwani humo, hadi nchi kavu.
Kuna upungufu mkubwa wa maji safi ya kunywa, chakula, makaazi na huduma za kimatibabu.
No comments:
Post a Comment