Liberia iliripoti kisa chake cha kwanza zaidi ya mwaka mmoja uliopita wakati ugonjwa huo uliposambaa kutoka taifa jirani la Guinea. Ugonjwa huo umewaua zaidi ya watu 11,000 katika eneo la Afrika magharibi.
Saturday, 9 May 2015
Liberia kutangazwa taifa lisilo na Ebola
Shirika la afya duniani WHO
linatarajiwa kuitangaza Liberia kuwa isiyo na ugonjwa wa ebola wakati
litakapothibitisha kuwa nchi hiyo haina kisa chengine kipya kwa siku 42
zilizopita.
Rais wa Liberia Ellen Johnson Sirlieaf anasema kwa Liberia sasa itasherehekea jitihada zake za kupambana na ugonjwa huo.
Liberia iliripoti kisa chake cha kwanza zaidi ya mwaka mmoja uliopita wakati ugonjwa huo uliposambaa kutoka taifa jirani la Guinea. Ugonjwa huo umewaua zaidi ya watu 11,000 katika eneo la Afrika magharibi.
Liberia iliripoti kisa chake cha kwanza zaidi ya mwaka mmoja uliopita wakati ugonjwa huo uliposambaa kutoka taifa jirani la Guinea. Ugonjwa huo umewaua zaidi ya watu 11,000 katika eneo la Afrika magharibi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment