Licha ya mgogoro wa kisiasa unaoendelea nchini mwake.Rais Nkurunziza alikuwa akisakata kabumbu ndani ya Mji Mkuu wa Bujumbura mji uliokumbwa na maandamano makubwa tangu atangaze nia ya kuwania awamu ya tatu ya uongozi.
Inaelezwa kuwa rais huyo ni mkali katika kucheza nafasi ya straika huku akionyesha uwezo mkubwa wa 'kukontrol' mpira akiwa na timu yake ya Aleluya FC.
No comments:
Post a Comment