Shirika la kupigania haki za
binaadamu lenye makao yake mjini Paris linasema kuwa vikosi vya usalama
nchini Misri vinatumia unyanyasaji wa kijinsia dhidi ya wale
wanaokomatwa na kuzuiliwa.
Linaushtumu utawala wa Misri kwa kutumia mbinu hiyo ili kuunyamazisha upinzani.
Wizara ya masuala ya ndani nchini Misri inasema kuwa haitazungumzia ripoti hiyo hadi ielewe kilicho ndani yake.
No comments:
Post a Comment