| Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifanya mazungumzo na Makamu wa Kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini
Dar es Salaam leo. |
| Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad aliyemtembelea Ikulu jijini Dar es Salaam kwa mazungumzo leo. |
(Picha na Freddy Maro / Ikulu)
No comments:
Post a Comment