Kumekuwa na maandamano katika
jamhuri iliojitangaza ya Somaliland baada ya mda wa kuongoza wa raia
Ahmed Silanyo kuongezwa kwa miaka miwili.
Muda wa bunge pia uliongezwa. Somaliland ilitangaza kupata uhuru kutoka kwa Somalia miaka 24 iliopita lakini ilikuwa haijatambulika kimataifa.
No comments:
Post a Comment