Amnesty wanasema Qatar imepiga hatua kidogo sana kutekeleza ahadi
nyingi walizozitoa mwaka jana, kwani wafanyakazi bado wanahitaji ruhusa
kutoka kwa waajiri wao ,kubadili ajira au kuondoka nchini
humo,mabadiliko ya malipo kwa wafanyakazi yanafanyika taratibu mno
wakati ni jambo la muhimu mno.
Hata hivyo Serikali ya Qatar inasema mabadiliko makubwa yanakuja ifikapo mwishoni mwa mwaka huu,japo kuwa Amnesty inaitaka FIFA , kuishinikiza Qatar kuongeza kasi katika kuleta mabadiliko.
No comments:
Post a Comment