Leer ndio nyumbani kwa kiongozi wa waasi Riek Machar.
Hospitali hiyo ilishambuliwa mwaka uliopita . Afisa mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia maswala ya binaadamu nchini humo Tobby Lanzer ameyataka makundi pinzani kuruhusu misaada kuingia katika eneo hilo.
Hadi raia laki moja wamewachwa bila makao katika jimbo la Unity state katika kipindi cha juma moja.
No comments:
Post a Comment