Hatua hiyo inafuatia ripoti katika gazeti la Le Parisien siku ya jumapili iliosema kuwa kuna mabadiliko muhimu yatakayofanyiwa sheria hiyo. Manchester City pamoja na kilabu ya PSG zilipigwa faini mwaka uliopita kwa kukiuka sheria hiyo.
Baadaye mwandani wa rais wa vilabu vya Ulaya ambaye pia ni katibu mpanga ratiba Gianni Infantino aliithibitishia BBC kwamba mazungumzo kuhusu FFP na vilabu vikuu vya Ulaya yanaendelea huku marekebisho hayo yakijadiliwa.
No comments:
Post a Comment