Nyota wa zamani wa soka huko Ureno , Luis Figo ambaye ni mmoja wa
waliojitoa kuwania nafasi hiyo,amelalamikia mfumo wa uendeshaji wa
uchaguzi huo na kuiita kuwa ni wakinafiki.
Amesisitiza kuwa kwa
mtazamo wake anaona kuwa taratibu zilizowekwa zililenga kumnufaisha
mgombea mmoja tu na si kuelta usawa wa wote waliojitokeza kuwania nafasi
hiyo,ambapo inaonekana kuwa ni mpango uliowekwa kumpatia nafasi ya
ushindi Rais wa sasa Sepp Blatter ambaye anawania nafasi hiyo kwa
kipindi cha tano.
Hata hivyo Rais wa chama cha soka huko Uholanzi ,
Michael van Praag , akijitoa. Huku wapinzani waliosalia ni Bw Blatter
ambaye ni Jordan Prince Ali Al Hussein ambaye ni mwanachama wa kamati ya
utendaji ya FIFA.
Mgombea mwingine aliyejitoa pia ni Rais wa
chama cha soka cha Uholanzi Michael van Praag na hivyo kuwaacha Blatter
na mtu anayedaiwa kuwa mpinzani wake wa karibu Prince Ali Al Hussein
ambaye ni mjumbe wa kamati ya utendaji ya FIFA
No comments:
Post a Comment