Pages

Tuesday, 2 June 2015

BLATTER AJIUZULU URAIS FIFA


MTIKISIKO, Rais wa FIFA Sepp Blatter ametangaaa kujiuzulu kufuatia kashfa ya rushwa.
Katika taarifa iliyotolewa leo makao makuu ya FIFA mjini Zurich, Uswisi, Blatter amesema anaondoka baada ya miaka 17 kama mtu mwenye nguvu katika soka.
Rais wa FIFA, Sepp Blatter ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo.
 Akizungumza leo, Blatter amesema; "Nitaendelea kubaki madarakani hadi hapo Fifa itakapofanya uchaguzi mkuu mpya wa viongozi na unatarajia kufanyika mwishoni mwa mwaka huu.

Sepp Blatter akiwapongeza wajumbe wa FIFA baada ya kushinda nafasi hiyo siku sita zilizopita.
Blatter alifanikiwa kumshinde Prince Ali katika uchaguzi mkuu wiki iliyopita, ametangaza kujiuzulu.

No comments:

Post a Comment