Andreas Martin Muller anadaiwa kuwa mmoja ya washambuliaji waliovamia kituo cha jeshi katika kaunti ya Lamu.
Wanamgambo 11 na wanajeshi wawili wa Kenya walifariki. Raia mwengine wa Ulaya Thomas Evans kutoka Uingereza pia alishiriki katika uvamizi huo kabla ya kuuawa.
No comments:
Post a Comment