Ndege hiyo 'private jet' ambayo Lowassa amepatiwa na wafadhili wake katika safari yake hii ya matumaini imetolewa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha Lowassa anazunguka mikoa yote nchini bara na visiwani kabla ya julai 12 na 13 ili akamilishe zoezi la kuwapata wadhamini 435 nchi nzima ili kufanikisha sharti la chama kwa wagombea nafasi ya urais.
Saturday, 6 June 2015
Lowassa Akodishiwa Ndege Maalum na Wafadhili wake.
Wakati watu kama Sitta wakikodi magari maalum kwa ajili ya zoezi la
utafutaji wadhamini na watu kama Makongoro wakijikongoja na magari ya
marafiki zao; hali imekuwa tofauti kabisa kwa Lowassa kwani yeye
amepatiwa ndege maalum kwa ajili ya shughuli hiyo ya kutafuta wadhamini!
Ndege hiyo 'private jet' ambayo Lowassa amepatiwa na wafadhili wake katika safari yake hii ya matumaini imetolewa mahususi kwa ajili ya kuhakikisha Lowassa anazunguka mikoa yote nchini bara na visiwani kabla ya julai 12 na 13 ili akamilishe zoezi la kuwapata wadhamini 435 nchi nzima ili kufanikisha sharti la chama kwa wagombea nafasi ya urais.
Udaku Special Blog

Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment