Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, akiwapungia mkono wanachama wa
Chama Cha Mpinduzi(CCM) na wananchi baada ya kupokea majina ya wanachama
zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu jana.
Wanachama wa Chama cha Mapinduzi(CCM) wakicheza baada ya Waziri Mkuu wa
zamani, Edward Lowassa kukabidhiwa majina ya wanachama wa chama hicho
zaidi ya 5000 waliomdhani kugombea Urais mkoani Simiyu. Leo Lowassa
atakuwa mkoani Shinyanga Kusaka wadhamini.
No comments:
Post a Comment