Mchezaji namba moja wa tenisi nchini
Uingereza, Andy Murray amejipa changamoto ya kuongeza kiwango chake cha
uchezaji wakati atakapopambana na Mfaransa Jeremy Chardy kuwania kufuzu
hatua ya robo fainali ya mashindano ya French Open Jumatatu.
| Andy Murray |
Murray anaingia katika mchezo huo akiwa na rekodi ya kutofungwa michezo 13 mwaka huu.
No comments:
Post a Comment