Miaka 20 baada ya kumazika kwa vita kwa wenyewe kwa wenyewe Bosnia imebaki imegawanyika katika misingi ya kidini na makabila.
Saturday, 6 June 2015
Papa kufanya ziara ya siku moja Bosnia
Kiongozi wa kanisa katoliki Papa
Francis anafanya ziara ya siku moja nchini Bosnia ambapo anatarajiwa
kutoa wito wa kuwepo amani na uwiano nchini humo.
Ataongoza misa
katika uwanja mmoja wa michezo kwenye mji mkuu Sarajevo ambapo pia
atakutana na waakilishi wa dini zote ambazo zimekuwa nchini Bosnia kwa
karne kadha zikiwemo za waislamu, wakiristo wa orthodox, wakatoliki na
wayahudi.
Miaka 20 baada ya kumazika kwa vita kwa wenyewe kwa wenyewe Bosnia imebaki imegawanyika katika misingi ya kidini na makabila.
Miaka 20 baada ya kumazika kwa vita kwa wenyewe kwa wenyewe Bosnia imebaki imegawanyika katika misingi ya kidini na makabila.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment