Polisi katika jimbo la South
Carolina nchini Marekani wanamsaka mtu mwenye silaha alihusika katika
shambulio katika Kanisa la Methodist lililo katika eneo la Charleston.
Shambulio hilo limefanyika katika Kanisa la Emanuel African Methodist Episcopal Church, moja ya makanisa kongwe ya Waafrika Wamarekani nchini Marekani.
No comments:
Post a Comment