Zaidi ya shule 700 Korea Kusini
zimefungwa kuhofia kuenea kwa ugonjwa uliozuka kwa ugonjwa unaoshambulia
mfumo wa upumuaji uliozuka kutoka Mashariki ya kati wa MERS
| |
MERS ni mara ya kwanza kugunduliwa nje ya Saudi Arabia, kwani miaka mitatu iliyopita mgonjwa wa kwanza aligunduliwa huko Mashariki ya Kati. Rais wa Korea Kusini Park Geun-Hye amehimiza jitihada zaidi kukabiliana na ueneaji wa virusi vya ugonjwa huo.
Raia wa Korea kwa sasa wamekumbwa na wasiwasi kutokana na ugonjwa huo wa SARS ulioua mamia ya watu huko Kaskazini Mashariki mwa Asia zaidi ya muongo mmoja uliopita.
No comments:
Post a Comment