| Tygal akiwa na mpenzi wake Kylie Jenner. |
Wapenzi hao wamekuwa wakijiachia pamoja mitaani mara kwa mara lakini kukutwa kwao katika duka hilo la vito kunaaminisha kuwa wanataka kupiga hatua zaidi katika uhusiano wao.
Licha ya kusemwa sana kuwa anatoka na mtoto mdogo, msanii huyo Hip hop, Tyga ameripotiwa kujiandaa kumfanyia bonge la sapraizi Kylie, Agosti 18, mwaka huu kwani mrembo huyo atakuwa ametimiza miaka 18. Chanzo kilisema Kylie anatamani kuchumbiwa na anapenda kuona anavalishwa pete.
No comments:
Post a Comment