Pages

Friday, 5 June 2015

UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMII YA WANAFUNZI WA IFM

 
AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA MFUKO WA PENSHENI WA PSPF ABDUL NJAIDI AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WAASASI YA HIFADHI YA JAMII, ILIYOANZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM). UZINDUZI HUO ULIDHAMINIWA NA PSPF.

 

BW. HASSAN ABDULRAHMAN, RAIS WA KWANZA WA ASASI YA HIFADHI YA JAMIIAKIZUNGUMZA WAKATI WA UZUNDUZI WA ASASI HIYO, UZINDUZI HUO ULIDHAMINIWA NA PSPF

 

WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) WAKIFATILIA UZINDUZI WA ASASI YA HIFADHI YA JAMIIULIODHAMINIWA NA PSPF.

 

MKURUGENZI WA UTAFITI, TATHIMIN NA SERA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII, ANSGAR MUSHI   (WA TANO KUTOKA KUSHOTO) AKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA AMBAO NI WANACHAMA WAAZILISHI WAASASI YA HIFADHI YA JAMII,WA NNE KUTOKA KUSHOTO NI DR. ABDALLAH SAQWARE NA WA NNE KUTOKA KULIA NI ABDUL NJAIDI, AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA PSPF. PSPF NDIO WALIKUWA WADHAMINI WAKUU WA UZINDUZI HUO.


 

MKURUGENZI WA UTAFITI, TATHIMIN NA SERA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMIIANSGAR MUSHI, AKITOA HOTUBA WAKATI WA UZINDUZI WA WAASASI YA HIFADHI YA JAMIIILIYOANZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) NA KUDHAMINIWA NA PSPF.


 

MKURUGENZI WA UTAFITI, TATHIMIN NA SERA WA MAMLAKA YA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA SEKTA YA HIFADHI YA JAMII ANSGAR MUSHI    AKIKATA UTEPE KUASHIRIA UZINDUZI WA WAASASI YA HIFADHI YA JAMII, KILICHOAZISHWA NA WANAFUNZI WA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA (IFM) KULIA NI ABDUL NJAIDI AFISA UHUSIANO MWANDAMIZI WA PSPF

No comments:

Post a Comment