Kumeshudiwa ghasia na fujo katika
mji mkuu wa Chile, Santiago, kati ya polisi wa kupambana na ghasia na
wanafunzi ambao wanataka mabadiliko makubwa yafanyiwe sekta ya elimu.
Wanafunzi hao wanataka kujumuishwa katika mabadiliko yanayofanyiwa mfumo wa elimu ya vyuo vikuu.
No comments:
Post a Comment