Wanaharakati hao wanasema serikali - ambayo inawaongoza ina waslamu wengi wa madhehebu ya Shia inawabagua Waisalamu wa madhehebu ya Suni waliokimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya Islamic State aambao nao pia ni Waislamu wa Suni.
Kwa wale wanaojaribu kuingia Baghdad wanakutana na vikazo vya barabarani katika mitaa ya mji ambapo hatua za kiusalama kwa ajili ya ulinzi zinachukuliwa. Mwandishi wa BBC amewakuta familia ya Sunni zikiwa zimekwama eneo hilo zikiwa na hali mbaya ambapo wanafikiria kurejea kwenye maeneo yaliyoshikiliwa na IS.
No comments:
Post a Comment