Mshambuliaji nguli wa Uruguay
Alcides Edgardo Ghiggia ambaye ndiye aliyeifungia timu yake goli la
ushindi dakika 10 kabla ya mchezo kwisha katika michuano ya kombe la
Dunia mwaka 1950, amefariki dunia.
Ghiggia amefariki wakati taifa hilo likiadhimisha kumbukumbu ya miaka 65 tangu kufanyika kwa fainali hizo za kombe la dunia mwaka 1950 ambapo Uruguay kupitia goli ilishinda.
Ikumbukwe kwamba katika historia ya uwanja wa Maracana ni watu watatu tu waliofanikiwa kuunyamazisha uwanja huo,na nzi za uhai wake Ghiggia alinukuliwa akiwataja watu hao kuwa ni Papa,Muuimbaji Frank Sinatra na yeye mwenyewe.
No comments:
Post a Comment