Aliyekuwa rais wa Marekani George HW
Bush amelazwa hospitalini baada ya kuvunjika mfupa wa shingoni
alipoanguka nyumbani kwake huko Maine.
Alilazimika kwenda hospitalini mwishoni mwa mwaka uliopita akiwa na tatizo la kupumua. Msemaji huyo Jim Grath amesema kuwa Bush huyo ambaye ndiye mkubwa miongoni mwa marasi wanne wa zamani wa Marekani kutoka familia hiyo atalazimika kuvaa kifaa cha kuzuia shingo kutokana na kuanguka kwake hapo siku ya jumatano.
No comments:
Post a Comment