Mshambuliaji wa Liverpool Mario Balotelli ameambiwa kuwa hatima yake ipo mikononi mwake.
Mchezaji
huyo mtukutu raia wa Italia kwa sasa hajasafiri na wenzake wa Liverpool
katika ziara kabla ya kuanza kwa msimu mpya wa ligi baadae mwezi
Agosti.Liverpool imefanya ziara ya kujiandaa na ligi katika nchi za Asia , Australia na Malyasia lakini Balotelli yeye hakuwepo.
No comments:
Post a Comment