Habari kutoka kwa serikali ya
Afghanistan zimesema kuwa kinara mkuu wa kundi la wapiganaji wa
Taliban, Mullah Omar amefariki. Lakini habari hizo bado hazijathibitishwa rasmi na kundi hilo. Kwa miezi kadhaa kumekuwepo na tetesi kuhusiana na kifo cha Mullah Omar.
| Mullah Omar |
Taarifa nyingine zinasema kuwa huenda alifariki miaka kadhaa iliyopita.
No comments:
Post a Comment