Mmoja
wa watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi akiwa mikononi mwa polisi baada ya
kutiwa mbaroni Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni jijini Dar es Salaam leo
mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa
kuwa walikuwa wanne.
Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.
Watuhumiwa hao wanne wa ujambazi wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.
Askari
kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo kabla ya
kujificha chini ya uvungu wa taxi zinazoegeshwa jirani na Mnara wa Saa
katika makutano ya barabara ya Uhuru, Samora na Nkruma.
Gari lenye namba T 976 BKK walilokuwa wakitumia majambazi hayo likiondolewa eneo la tukio kupelekwa kituo kikuu cha polisi.
No comments:
Post a Comment