| Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa wamebeba baadhi ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza(kulia) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. |
| Mwanafunzi wa darasa la saba wa shule ya msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,Upendo Kujerwa (kulia) akionesha moja ya kompyuta kati ya(20) zilizotolewa msaada na Vodacom Foundation kupitia mkuu wa taasisi hiyo Renatus Rwehikiza (kushoto) katikati ni Mwanafunzi wa shule hiyo Erick Uledi. Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. |
| Baadhi ya wanafunzi wa darasa la saba wa shule ya Msingi Mlimani ya jijini Dar es Salaam,wakiwa na nyuso za furaha na kompyuta zao (20) walizopewa msaada na Vodacom Foundation na kukabidhiwa na Mkuu wa taasisi hiyo, Renatus Rwehikiza (hayupo pichani) Msaada huo ulitolewa na Taasisi hiyo kwa ajili ya wanafunzi wa shule hiyo kujifunza masomo mbalimbali kupitia kompyuta hizo. |
No comments:
Post a Comment