 |
| Mgombea urais wa Tanzania kupitia
CCM, Dk John Magufuli akijinadi kwa wananchi huku akishangiliwa
aliposimama kusalimia katika Mji wa Nyakanazi, wilayani Biharamulo, Mkoa
wa Kagera jana. |
 |
Wakazi wa Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wakati wa mkutano wa kampeni.
|
 |
Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba za Dk Magufuli wilayani Kakonko, Kigoma.
|
 |
| Dk Magufuli akimkabidhi Ilani ya
Uchaguzi Mgombea ubunge jimbo la Kakonko, Christopher Chizza wakati wa
mkutano wa kampeni wilayani Kakonko, Kigoma. |
 |
| Vijana wakisikiliza kwa makini wakati huku wakiwa juu ya baiskeli wakati Dk Magufuli akijinadi wilayani Kakonko. |
 |
| Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa
aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Cornel Pastory
alipozuru kaburi la mwalimu huyo wilayani Biaharamulo. |
 |
| Dk Magufuli akiwafariji ndugu wa
aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastrory
alipkwenda kuzuru kaburi. |
 |
| Mwalimu Cornel Pastory enzi za uhai wake. |
 |
| Dk Magufuli akiweka shada la maua kwenye kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu, Cornel Pastory. |
 |
Dk Magufuli akiomba alipozuru
kaburi la aliyekuwa mwalimu wake wa darasa la kwanza marehemu Pastory
wilayani Biharamulo, Kagera.
|
 |
| Wananchi wakishangilia baada ya kufurahishwa na hotuba ya Dk Magufuli wakati wa mkutano wa kampeni mjini Biharamulo. |
 |
Mgombea ubunge Jimbo la Muleba
Kusini kupitia CCM, Profesa Anna Tibaijuka (kulia) akiwa miongoni mwa
walioshiriki katika mkutano wa kampeni za CCM mjini Biharamulo.
|
 |
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akifanya kampeni mjini Biharamulo.
|
 |
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi mjini ili wampigie kura katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 Biharamulo.
|
 |
Ni furaha iliyoje kwa wakazi wa Bi9aharamulo baada ya kumuona Dk Magufuli wakati wa kampeni mjini humo.
|
 |
Dk Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Biharamulo, Oscar Mkassawakati wa kampeni hizo.
|
 |
| Dk Magufuli akimnadi mgombea ubunge
Jimbo la Chato,Meedard Karemani katika Kata ya Igalula wilayani Chato
ambaye ndiye mrithi wake katika nafasi hiyo. |
 |
Ulinzi ukiwa umeimarishwa nyumbani kwa Dk Magufuli, mjini Chato.
|
 |
Sura zikionesha matarajio makubwa
baada ya kumuona Dk Magufuli alipowasili katika Kata ya Igalula
alipozungumza nao na kupata wasaa kuwaaga wananchi wa Jimbo la Chato
baada ya kufanikiwa kupata nafasi ya kugombea urais wa T anzania.
|
 |
Sehemu ya wananchi wa Chato wakimlaki Dk Magufuli.
|
 |
Ulinzi ukiwa umeimarishwa baada ya
Dk Magufuli kuwasili nyumbani kwake Chato baada ya kufanya kampeni
katika Wilaya ya Biaharamulo, Kagera.
|
 |
Dk Magufuli akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Geita, Fatma Mwassa
|
 |
Dk Magufuli akisalimiana na ndugu
zake akiwemo mamake mzazi (katikati) alipowasili nyumbani kwao Chato
baada ya safari ndefu ya kufanya kampeni katika mikoa 13 nchini.
|
 |
Dk Magufuli akisalimiana na ndugu nyumbani kwake Chato
|
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
No comments:
Post a Comment