''kiakili tumejipanga kwa mwanzo mzuri.Hatukuja hapa kuwa wasindikizaji'' alisema Jones.
Japan walipewa walinzi wa heshima katika hoteli ya Brighton kutokana na ushindi wake dhidi ya timu ya Afrika Kusini, wamekuwa na siku nne tu ya kujiandaa kwa ajili ya mechi ya Jumatano . Jones tiyari amekwisha fanya mabadiliko katika kikosi chake cha kwanza lengo likiwa kupata kikosi sahihi zaidi kwa mchezo huo.
No comments:
Post a Comment