Wanajeshi hamsimi wa Afrika Kusini
waliokuwa wakihudumu katika kikosi cha Umoja wa Mataifa kinacholinda
amani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (Monusco) wameagizwa kurejea
nyumbani.
Taifa hilo lina takriban wanajeshi 1,400 wanaohudumu Congo, wakijaribu kusaidia kukomesha vita mashariki mwa DR Congo.
Baadhi ya wanajeshi wanadaiwa kuhatarisha usalama wa wanajeshi wengine wa UN nchini DR Congo.
No comments:
Post a Comment