| Wanajeshi wa Iraq |
Pentagon imesema kuwa, muda umewadia
kwa kikosi cha wanajeshi wa Iraq waliofunzwa na Marekani kuchukua
udhibiti wa mji wa Ramadi kutoka mikononi mwa kundi hatari la Islamic
State.
Msemaji wa Pentagon kanali Steve Warren amesema kwamba,
mashambulio 52 ya angani dhidi ya ngome ya IS katika siku kumi
zilizopita yameandaa kikosi hicho kufikia hatua ya mwisho ya kuutwaa mji
huo.Kanali Warren anasema kuwa yatakuwa mapigano makali.
No comments:
Post a Comment