Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt
Abdallah Kigoda alifariki dunia siku ya Jumatatu nchini India alipokuwa
amelazwa akipatiwa matibabu.
| Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Dk.Abdallah Kigoda |
Kitengo cha Habari na Mawasiliano cha Ofisi ya Bunge, kimesema taarifa zaidi kuhusu msiba na taratibu za kurejesha mwili nchini Tanzania zitaendelea kutolewa na Serikali na Ofisi ya Bunge kwa kushirikiana na familia ya marehemu kadiri zinavyoendelea kupatikana
No comments:
Post a Comment