Zaidi ya wahamiaji 200 wamefanikiwa
kuvunja vizuizi vya usalama kwenye reli inayounganisha Uingereza na
Ufaransa na kusababishwa kusimamishwa kwa huduma.
| Wahamiaji 200 waingia kwa reli Ufaransa |
Kampuni ya Eurotunnel inasema kuwa wafanyikazi walishambuliwa na wahamiaji kwa mawe ambapo watu watatu walijeruhiwa.
Mamilioni ya pauni imetumiwa kuboresha usalama katika reli hiyo, ukiwemo ujenzi wa ua mpya na kuongezwa kwa walinzi.
No comments:
Post a Comment