| Muuguzi aliyepata maambukizo ya Ebola |
Muuguzi kutoka Scotland aliyeugua virusi vya Ebola amepata nafuu.
Baada ya kupata nafuu sasa ameondolewa katika hospitali moja huko London, alikokuwa ametengwa ili kupata matibabu ya ugonjwa wa utando wa Ubongo- yaani Menengitis, uliosababishwa na Ebola.
No comments:
Post a Comment