| Papa Francis |
Uongozi wa juu wa kanisa hilo unaamini kwamba wawili hao walivujisha nyaraka muhimu za majadiliano ya tume hiyo kwa waandishi habari wanaofanya uchunguzi wa masuala ya rushwa ndani ya Vatican.
Nyaraka hizo ndizo zitakazotumika kuchapisha vitabu viwili vinavyotarajiwa kutolewa kuhusiana na utata wa hali ya kifedha wa Vatican.mmoja wa waandishi habari Gianluigi Nuzzi ambaye alichapisha moja ya nyaraka hizo mnamo mwaka 2012 ambaye anadai kupewa nyaraka hizo na mtangulizi wa Papa Francis
No comments:
Post a Comment