| Rais wa Syria Bashar Al Assad |
Taarifa kutoka nchini Syria
zinaeleza kwamba ,waasi nchini humo wanatumia askari mateka wanajeshi na
wengine wenye uhusiano na serikali kama ngao yao ili kujikinga na
mashambulizi ya askari wa serikali vya rais Bashar al-Assad.
Mmoja ya mateka ni amesema ni mmoja wa maafisa wa jeshi ametaka kusitishwa kwa mashambulizi ya mabomu katika eneo hilo.
Inasemekana video hiyo imetoka katika eneo linalokaliwa na waasi katika vitongoji vya mji wa Damascus,mahali palipotokea mashambulizi ya roketi ambalo liliua watu sabini katika eneo la soko mwishoni mwa juma lililopita.
No comments:
Post a Comment