Na Idd Mumba, Mwanza
Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza karibu na jengo la Nyanza leo majira ya saa tisa alasiri imeungua moto na kuteketeza vitu mbalimbali vilivyokuwepo katika kliniki hiyo.| Moto mkali ukiunguza Ofisi za Kliniki ya afya ya mapenzi iliyopo jijini Mwanza. |
| Ofisi hizo zikizidi kuungua kwa moto. |
| Zimamoto wakijaribu kupambana na moto huo. |
Alivitaja vifaa vilivyoungua kuwa ni pamoja na laptop yenye thamani ya shilingi laki nane (800,000/=), simu mbili pamoja na mafaili aliyokuwa anayatumia katika ofisi hiyo.
No comments:
Post a Comment