Mahakama ya Misri imewahukumia kifungo ncha maisha jela, watu 69 baada ya kupatikana na hatia kuchoma kanisa moja nchini humo.
Mahakama nchini Misri
Kanisa hilo liliteketezwa moto wakati machafuko yalipozuka eneo la Kerdasa karibu na mji wa Cairo mwaka 2013.
Makabiliano
makali yalizuka pale jeshi lilipoanza kuwaondoa wafuasi wa aliyekua
Rais Mohammed Morsi kutoka maeneo waliokua wakiandamana.
Mamia ya waandamanaji waliuawa kwenye operesheni hiyo.
No comments:
Post a Comment