CHOKI, NYAMWELA WATUA RASMI TWANGA PEPETA
Aliyekuwa Mkurugenzi wa Extra Bongo, Ali Choki
na dansa wake Super Nyamwela wamejiunga rasmi na Bendi ya Twanga Pepeta
leo na kutambulishwa kwa wanahabari katika mkutano uliofanyika Nemax
Hotel, Kinondoni jijini Dar.
No comments:
Post a Comment