Tuzo hizi hufanyika kila mwaka na wasikilizaji wa Afro Radio ya Australia hupiga kura mtandanoni na msanii atakayepata kura nyingi ndiye anaibuka mshindi.
Wednesday, 8 April 2015
DIAMOND PLATINUMZ KUWANIA TUZO YA 'RADIO AFRO AUSTRALIA SONG OF THE YEAR
Msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'
ametajwa kuwania tuzo ya 'Radio AFRO Australia Song of the Year 2014'
kupitia wimbo wake wa Number 1 Remix’ aliyomshirikisha staa wa Nigeria
Davido.
Wasanii wengine kutoka Afrika wanaowania Tuzo hizo ni
pamoja na Davido ambaye ana nyimbo nne zilizoingia, Bebe Cool ana nyimbo
mbili, P-Square wana nyimbo nne, 2Face, AKA, Cassper Nyovest na Iyanya.
Tuzo hizi hufanyika kila mwaka na wasikilizaji wa Afro Radio ya Australia hupiga kura mtandanoni na msanii atakayepata kura nyingi ndiye anaibuka mshindi.
Tuzo hizi hufanyika kila mwaka na wasikilizaji wa Afro Radio ya Australia hupiga kura mtandanoni na msanii atakayepata kura nyingi ndiye anaibuka mshindi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment