Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Vuai Ali Vuai maara alipowasili katika viwanja vya
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja kubhudhuria katika Hitma ya
Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume Iliyofanyika
leo asubuhi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein(katikati) akiwaongoza
Viongozi mbali mbali pamoja na Wananchi katika Kisomo cha hitma ya
aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume
katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika
leo asubuhi.
Baadhi ya Viongozo wakisoma
hitma akiwemo aliyekuwa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid
Amani Karume(kushoto) Balozi Ali Karume katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.
Waislamu na wananchi mbali
mbali wakiwa katika kisomo cha hitma ya aliyekuwa Rais wa Kwanza wa
Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika ukumbi wa Ofisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.
Akinamama wa Mitaa mbali mbali
ya Mji wa Unguja wakiwa katika kisomo cha Hitma ya aliyekuwa Rais wa
Kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani Karume katika ukumbi wa
Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja Iliyofanyika leo asubuhi.
Mke wa Rais Zanzibar Mama
Mwanamwema Shein(katikati) akiwa na Mama Shadya Karume Mke wa Rais
Mstaafu wa Zanzibar(wa tatu kulia) Mama Fatma Karume (wa pili kulia) Mke
wa Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mama Zakia Bilali (kushoto) Bi
Khadija Aboud (wa pili kushoto)Mjumbe wa Kamati Kuu wa CCM,katika hitma
ya kumuombea dua Rais wa kwanza wa Zanzibar Marehemu Mzee Abeid Amani
Karume,iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akiweka shada la mauwa
katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani
Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa
Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Makamo wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilali akiweka shada la mauwa
katika kaburi la Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani
Karume,baada ya kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa
Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Muasisi wa Mapinduzi ya
Zanzibar Mzee Hamid Ameir akiweka shada la mauwa katika kaburi la
Marehemu Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume, baada ya
kisomo cha hitma na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi
ya CCM Kisiwandui Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Balozi Ali Karume (Mtototo) kwa
niaba ya familia akiweka shada la mauwa katika kaburi la Marehemu Rais
wa kwanza wa Zanzibar Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma
na dua iliyoombwa na wananchi wa Zanzibar katika Ofisi ya CCM Kisiwandui
Mjini Zanzibar leo asubuhi.
Wake wa Viongozi wakiitikia dua
iliyoombwa katika kaburi la Marehemu MzeeAbeid Amani Karume baada ya
hitma iliyosomwa leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini
Unguja na kuhudhuriwa na waislamu mbali mbali Mjni na Vijijini.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein pamoja na Viongizi
wengine wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh
Omar Kabi (kulia) baada ya kisomo cha hitma iliyosomwa leo katika
ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.
Baba Askofu wa Anglikan wa
Kanisa la Mkunazini Michael Hafidh akiomba dua wakati Viongozi mbali
mbali waliofika katika kaburi la aliyekua Rais wa Kwanza wa Zanzibar
Marehemu Mzee Abeid Amani Karume,baada ya kisomo cha hitma iliyosomwa
leo katika ukumbi wa Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja.(Picha na
Ikulu, Zanzibar.)













No comments:
Post a Comment