| Mkude akiwa ameshikilia msalaba wa baba yake katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar |
Mzee huyo ambaye amefariki akiwa na umri wa miaka 46, alilazwa katika Hospitali ya Mwananyamala tangu Alhamisi ya wiki iliyopita kabla ya Jumapili kufariki akiwa katika hospitali hiyo ya Mkoa wa Kitabibu wa Kinondoni.
Bwana ametoa na bwana ametwaa na jina lihimidiwe, amina.
No comments:
Post a Comment