Kocha wa timu ya soka Sunderland ya
England, Dick Advocaat ametangaza kubwaga manyanga kuendelea kuifundisha
klabu hiyo, japokuwa kocha huyo amefanikiwa kuiokoa timu hiyo kutoka
katika janga la kushuka daraja msimu huu.
| Dick Advocaat |
Wakati fulani katika maisha yako wapaswa kufanya uamuzi" Advocaat. Kwa upande wake mwenyekiti wa Sunderland Ellis Short, amesema kuwa amefadhaishwa na taarifa ya kocha huyo lakini anaheshimu uamuzi wake huku akiahidi kuendelea kumshukuru.
No comments:
Post a Comment